Waziri ni langu jina, maadili ni fukuto
Si Waziri tu wa jina, avutaye misokoto
Ni kijana muungwana, kapita vyote Vidato
Mbobevu wa maana, wa elimu na watoto.
Si Waziri tu wa jina, avutaye misokoto
Ni kijana muungwana, kapita vyote Vidato
Mbobevu wa maana, wa elimu na watoto.