Waziri ni langu jina, maadili ni fukuto Si Waziri tu wa jina, avutaye misokoto Ni kijana muungwana, kapita vyote Vidato Mbobevu wa maana, wa elimu na watoto.
No comments:
Post a Comment